Habari za Mastaa

PICHA 13: Hamisa Mobetto afuturisha watoto wasiojiweza

on

Siku ya June 14, 2018 Model Hamissa Mobeto ametumia kushare ftari yake na watoto wasiojiweza na yatima katika kituo kilichopo Sinza Meeda DSM ambapo aliambatana na Mama yake mzazi pamoja na baadhi ya mashabiki wake waliojitolea michango.

Karibu kuzitazama picha 13 kutoka kwenye kituo hicho.

HAMISSA KAFUNGUKA: Wanaosema mtoto wa Jaguar “Simjui Jaguar sijawahi kumuona”

Soma na hizi

Tupia Comments