AyoTV

Ulimis hotuba yote ya Magufuli kwenye siku ya kwanza ya Kampeni? ninayo video yake hapa

on

Magufuli 2John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya ufunguzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani Dar es salaam.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments