AyoTV

Video yenye maneno yote ya Zitto Kabwe siku ya kwanza ya kampeni za ACT Wazalendo

on

Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alikua miongoni mwa waliosimama kuzungumza kwenye siku ya kwanza ya kampeni za chama hicho Mbagala Dar es salaam ambapo mgombea Urais wao mwaka huu ni Mama Anna Mghwira.

Kwenye hii video hapa chini utakutana na yote makubwa kutoka kwa Zitto Kabwe.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments