AyoTV

Full video ya Dr. Slaa akieleza yote kuhusu CHADEMA na Lowassa.

on

Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Wilbroad Slaa alisimama mbele ya Waandishi wa habari Sept 1 2015 Dar es salaam kueleza mambo yote yaliyochangia ukimya wake na kutosikika toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA, mtazame kwenye hii video hapa chini.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments