Michezo

Full Time ya Chelsea vs Asrenal Sept. 19 !

on

September 19 2015 ni siku nyingine ilikua inasubiriwa na mashabiki wa soka kwenye pande zote za dunia manake ni siku iliyozikutanisha tena uwanjani Arsenal na Chelsea ambapo mpaka game imemalizika ilikua ni Chelsea 2 – 0 Arsenal, magoli yamefungwa na Zouma 53′ + Hazard 90+1

Soma na hizi

Tupia Comments