Top Stories

Taasisi ya TWAWEZA imesema CCM inakubalika kwa 66 % ! ya wengine nimeyanasa hapa pia

on

Wakati tukiisogelea siku ya uchaguzi mkuu wa Urais, Wabunge na Madiwani October 25 2015, yafuatayo ni matokeo ambayo taasisi ya TWAWEZA inasema imeyapata kutokana na utafiti uliofanyika kuhusu mwenendo wa siasa Tanzania na kutaja ni vyama gani na vinakubalika kwa kiasi gani na Watanzania.

Aidan Yekuze ndio Mkurugenzi Mtendaji wa hii taasisi ambapo sauti yake yote ya aliyoyazungumza yako hapa chini kwenye hii sauti unaweza kubonyeza play na kusikiliza kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

UNAWEZA KUSIKILIZA SAUTI YOTE KWA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments