AyoTV

Full video ya fainali ya BSS 2015 ! Watoto wa Tanzania na vipaji vyao…

on

Kutana na show ya Bongo star search ambayo toka kitambo imejulikana kwa kuvifichua vipaji vya muziki vya watoto wa Kitanzania, ni Bongo Star search ambayo ilirudi tena mwaka huu na mshindi wake kuzichukua milioni 50.

BSS 4

Kwenye hii video hapa chini utaona kila kitu mpaka fainali yenyewe mtu wangu…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments