AyoTV

AUDIO: ‘Serikali imeridhishwa na mabadiliko kwenye MISS TANZANIA’ – Waziri Nape

on

November 14, 2016 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye alikutana na waandishi wa habari kuzungumza masuala mbalimbali ya michezo ikiwemo matatizo yaliyotatuliwa kwenye mashindano ya  Miss Tanzania 2016.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Waziri Nape aliyasema haya……….>>>Yapo baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza nyuma kwenye mchakato wa kumpata Miss Tanzania na ndio maana serikali ikaingilia kati ikalisimamisha shindano hili’

>>>’Wakati shindano lililoposimamisha kulikuwa kunafanyika mazungumzo kujua wapi pamekosewa, matokeo ya uchambuzi yalituonyesha hatua za kuchukua hili tusirudie makosa yaliyofanyika ndio maana tukaruhusu kulianzisha upya shindano, mimi naamini mapungufu mengi yaliyojitokeza nyuma waliyafanyia kazi na serikali tumeridhika’ ;-Waziri Nape

VIDEO: MWANZO MWISHO: Fainali ya Miss Tanzania 2016 Mwanza

Soma na hizi

Tupia Comments