Habari za Mastaa

VIDEO: Mahojiano ya Television ya CCTV Africa na mwimbaji Alikiba

on

Zaidi ya siku saba zilizopita mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alituonyesha kwa mara ya kwanza single yake mpya ya ‘Lupela’ ambayo ameihusisha na ubalozi wake wa kutetea Uhai wa Tembo ambao wamekua wakiuwawa sana kwenye bara la Afrika.

Ni party ambayo ilifanyika kwenye hoteli pembeni mwa bahari ya hindi Dar es salaam na ilikua na Waandishi wa habari kutoka pia vyombo vya habari vya kimataifa ndio maana habari hii imefika mpaka CCTV Africa, itazame hii video hapa chini Alikiba akihojiwa.

UNATAKA KUONA PARTY YA ALIKIBA ALIVYOITAMBULISHA LUPELA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments