Ajali

Kumaliza safari salama ni Mungu tu.. hizi ajali za Malori zilizonaswa kwenye video zikitokea livelive zinatisha

on

Ajali huwa zinatokea popote na wakati mwingine tunapona sababu ya rehema za mwenyenzi Mungu ila pamoja na hayo, kufata sheria za barabarani kama vile kukaa mbali na mwenzako mnapofatana au kutotembea mwendo kasi kunasaidia japo dereva mwingine ndio anaweza kukusababishia ajali, tazama hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments