on air with millardayo

Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine

on

Wakati inasubiriwa show ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam kwenye boxing day December 26, kuna hii Interview ya Alikiba akihojiwa na Millard Ayo na kuzungumzia sehemu ya mafanikio yake 2015, alichoandikiwa na Ben Pol na mengine.

Kabla hujaitazama hii Interview hapa chini, inabidi ujue pia kwenye hii show ya boxing day Escape One, Alikiba atafanya live show na band ya Kenya.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments