Mix

PICHA 7: Diamond Platnumz, Fella na Tale msibani kwa Waziri Mwakyembe

on

Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz, Mameneja wake Said Fella na Babu Tale ni miongoni mwa mastaa wa Bongo waliofika nyumbani kwa Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha Mke wake Linah George.

VIDEO: “Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” – Diamond Platnumz…. bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: Show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani, Promota athibitisha…. bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments