Michezo

Video ya Neymar alivyosherehekea Chrismass Brazil, kaperform kwenye Stage moja na Thiaguinho, cheki hapa ..

on

Kama unajiuliza mastaa wa soka wa Ligi Kuu Hispania watakuwa wapi wakati huu Chrismass, ukizingatia Ligi yao imesimama kidogo kwa ajili ya sikukuu ya Chrismass na Boxing Day, Neymar anatajwa kuwa alikodi ndege binafsi hadi kwao Brazil na kuhudhuria Show ya msanii maarufu wa Brazil Thiaguinho.

thi_1

Neymar na Thiaguinho

Kama humjui Thiaguinho staa wa muziki aliyeimba na kucheza katika Stage moja na Neymar, ni muimbaji wa kibrazil ambaye amewahi kutamba na hit single kama Simples Desejo na Ousadia e Alegria. Thiaguinho ambaye ameingia katika rekodi ya kutajwa na jarida la Glamour kuwa ni muimbaji wa kiume mwenye mvuto  kwa mwaka 2015 na mwaka 2016 toleo la January atatokea tena.

Hii video ya sekunde 15 za Neymar na Thiaguinho wakiperform pamoja

https://youtu.be/BuC0-Q6yeHc

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments