Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: OFFICIAL: Griezmann ameweka wazi atacheza timu gani 2018/19
Share
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > OFFICIAL: Griezmann ameweka wazi atacheza timu gani 2018/19
Sports

OFFICIAL: Griezmann ameweka wazi atacheza timu gani 2018/19

June 15, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya headlines za muda mrefu za staa wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Atletico Madrid ya Hispania Antoine Griezmann kudaiwa kuwa ataondoka Atletico Madrid.

Usiku wa June 14 ameeleza ukweli kuhusiana na timu gani atacheza msimu wa 2018/19, Griezmann siku tatu nyuma alinukuliwa akisema kuwa tayari ameshafanya maamuzi kuwa ni wapi atacheza msimu ujao lakini hakutaja jina la timu.

Kwa mujibu wa video clip inayosambaa mitandaoni inaonesha kuwa Griezmann ataendelea kuitumikia Atletico Madrid katika msimu wa 2018/19, Griezmann anafikia maamuzi hayo baada ya kuifungia Atletico jumla ya magoli 29 msimu uliopita katika mashindano yote.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

You Might Also Like

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA June 15, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article EXCLUSIVE: Mama Hamisa kazungumza “Namwambiaga Hamisa akipata mimba asitoe”
Next Article Maradona hajafurahishwa na FIFA kuwapa uenyeji USA, Mexico na Canada World Cup 2026
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?