Walisema Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa mtandao wa kijamii wa Instagram na ndio maana naamini mabadiliko yaliyotokea yanatakiwa kuwafikia Watanzania.
Kama hujagundua kwenye page yako ya Instagram ni kwamba kila unapopost video ya sekunde 15 kama ulivyo utaratibu wa kawaida wa Insta, mabadiliko mapya yaliyofanywa na mamlaka ya mtandao huu wa kijamii ni kukupa fursa wewe na followers wako kuona video uliyopost imetazamwa na watu wangapi kama inavyoonekana hapa chini.
Kwenye mabadiliko haya ya Instagram, mtandao wa kijamii wenye watumiaji zaidi ya milioni 400, likes hazitoonekana mpaka ubonyeze sehemu yenye idadi ya views ndio itakupeleka kuona likes za hiyo post.
Mpango huu mpya wa Instagram ulitangazwa zaidi ya siku kumi zilizopita na mabadiliko nimeanza kuyaona Tanzania kuanzia February 22 2016.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULITAZAMA MANENO YA MADEE BAADA YA KUSIKIA MATUSI YA DOGO JANJA KWENYE MAONGEZI YA SIMU? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI..