Mix

Matokeo ya Rais Zanzibar yemetangazwa hizi ni picha 15 kutoka eneo la tukio

on

Leo March 21 Tume ya Uchaguzu Zanzibar imetangaza matokeo ya uchaguzi ambapo imemtangaza mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein kuwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuibuka na ushindi wa asilimia 91.4%.

Nimekuwekea Picha 15 za Matukio mbalimbali wakati wa utangazaji wa matokeo.

.

Hamad Rashid Mohamed ambaye alikuwa mgombea Urais kupitia ADC akimpongeza Dk. Ali Mohamed Shein

.

Hamad Rashid Mohamed ambaye alikuwa mgombea urais kupitia ADC akiongea baada ya  Dk. Ali Mohamed kutangazwa mshindi

.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha akimpongeza Rais mteule Dk. Ali Mohamed Shein.

.

Dk. Ali Mohamed Shein, Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE

Uliikosa video ya Rais Shein na Mama Samia Suluhu walivyoshiriki kupiga kura March 20, 2016? Angalia video hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments