AyoTV

VIDEO: Mambo matatu ya kufahamu kuhusu marehemu Kinyambe

on

May 11 2016 msanii wa filamu za uchekeshaji maarufu kama Kinyambe alifariki dunia akiwa katika hospitali ya mkowa wa Mbeya, Kinyambe alifariki kwa kuugua kwa zaidi ya miezi nane na ugonjwa uliokuwa unamsumbua ni pafu la upande mmoja kushindwa kupumua vizuri. Kwa mujibu wa baba mzazi wa marehemu Petro Lugendelo Nsemwa

“Kinyambe amefariki na kuacha watoto wawili na mjane ambaye ni mjamzito anatarajia kujifungua mwaka huu, amefariki baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi sita toka arudi kwao Mbeya akitokea Dar es Salaam, Kinyambe amepishana siku kadhaa tu na mwanae wa mwisho Bray mwenye umri wa miaka minne aliyefariki kwa kuumwa tumbo” 

KAMA ULIIKOSA YA WABUNGE WA UKAWA WALIVYOTOKA NJE BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments