Video Mpya

Mabibi na mabwana Vanessa Mdee katuletea video mpya ‘Never ever’

on

NI Headlines za mwimbaji wa kike kutoka Bongo Flevani, Vanessa Mdee ambae kwasasa huko Gabon katika shughuli zake za muziki.

Sasa leo Novemba 15, 2019 ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Never ever akiwa amemshirikisha Frederic Gassita & The London Symphony Orchestra 

ULIIKOSA HII YA WOLPER  ALIVYOSUSIA KIKAO NA ALICHOSIKITISHWA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments