Duniani

VIDEO: Wewe ni Bingwa wa kupiga Selfie? mtazame huyu alivyoweka rekodi yake

on

Kijana Hugo Cornellier raia wa Canada ameingia kwenye headlines baada ya kugundulika kuwa amekuwa na desturi ya kujipiga picha (selfie)  kwa muda wa miaka nane na nusu mfululizo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipofikisha miaka 20, yeye amedai kuwa alihitaji kuona mabadiliko  katika maisha yake ya kila siku swala ambalo sio wengi wanalifanya.

Hugo Cornellier alitengeneza video ambayo alizichanganya picha zote alizozipiga kila siku na katika matukio maalum katika maisha yake kama vile siku ya kwanza kuwasili shule, msichana wa kwanza kuwa na mahusiano naye pamoja na siku ya kwanza kazini alipoajiriwa.

Tazama video aliyotengeneza Hugo kwa kutumia picha zote alizopiga kwa miaka nane mfululizo.

ULIKOSA UTANI WA MASAANJA AKIMPA MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Kutuma na kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments