Mix

VideoFUPI: Hii ndio sababu kuu iliyosababisha mizigo bandarini Dar es Salaam kupungua

on

Wakati mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam inakuwa sawa, ziliripotiwa habari mpya kuwa Bandari ya Dar es Salaam imepungua kupokea mizigo kupitia Bandari hiyo.

Habari za kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ziliingia kwenye headlines, baada ya vyombo vingi vya habari kuandika na kuripoti kuhusiana na ishu hiyo, kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania Injinia Alois Matei ameweka wazi sababu za mizigo kupungua.

“Biashara za bandari dunia nzima zimeshuka kipindi hiki kuna mtikisiko kidogo kutokana na uchumi wa dunia, hata juzi tuliongea na wenzetu wa Singapore ambao walikuja, nchi yao ni moja ya nchi inayofanya biashara ya bandari kwa kiasi kikubwa wanasema ni kweli wame kumbana na tatizo hilo la kushuka kwa mizigo katika kipindi cha hii miezi mitatu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwwa a na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIFO VYA WANAWAKE GUEST HOUSE VYAENDELEA DAR ES SALAAM, HII IMETOKEA MEI 1 2016

Soma na hizi

Tupia Comments