Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TrendingWorldwide: Stori za Janet Jackson kupata ujauzito akiwa na miaka 49 na mengine
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > TrendingWorldwide: Stori za Janet Jackson kupata ujauzito akiwa na miaka 49 na mengine
Mix

TrendingWorldwide: Stori za Janet Jackson kupata ujauzito akiwa na miaka 49 na mengine

May 6, 2016
Share
1 Min Read
SHARE
Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza Amplifaya ya Clouds FM May 5 2016 kutokana na kukosa time mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee stori mbili zilizoingia kwenye headlines za Trending World Wide kwa siku ya leo.
Miongoni mwa stori zilizosikika leo kwenye Amplifaya ya Clouds FM segment ya Trending World Wide ni headlines za Azam FC kunyang’anywa point tatu na kutoka na kumchezesha Erasto Nyoni katika mchezo dhidi ya Mbeya City akiwa na kadi.
Wakati hiyo ikiwa headlines kwa bongo dada wa King Of Pop duniani hayati Michael Jackson ambaye Janet Jackson ameingia kwenye headlines baada ya stori za kupata ujauzito kuenea, stori ni kuwa Janet amepata ujauzito akiwa na umri wa miaka 49 yaani bado siku chache tu atimize miaka 50.
Kama ulizikosa hizi kwenye Amplifaya unaweza sikiliza hapa 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: trendingworldwide
Edwin TZA May 6, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Tundu Lissu kawasilisha maoni haya kuhusu Serikali ya Rais Magufuli
Next Article Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 6 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?