Mix

PICHA 10: Taarifa rasmi za kifo cha Kinyambe kutoka katika familia yake Uyole Mbeya

on

May 12 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy James Petro Nsemwa ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kinyambe’  zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii, kwa baadhi ya watu maarufu na wasanii kupost picha na kuonesha kuguswa na taarifa za kifo chake.

DSC_8398

Ripota wa millardayo.com alifanikiwa kufika Uyole Mbeya na kukutana na baba mzazi wa marehemu mzee Petro Lugendelo Nsemwa na kutueleza nini kimepelekea kifo cha Kinyambe ” Marehemu alikuwa anaumwa kwa kipindi cha miezi nane, alikuwa anasumbuliwa na pafu la upande mmoja lilikuwa alipumui vizuri”

DSC_8393

Kingine ambacho hufahamu ni kuwa ndani ya mwezi mmoja yaani siku kadhaa kabla ya Kinyambe kufariki alimpoteza mtoto wake wa mwisho Bray James Petro aliyekuwa na umri wa miaka minne, ila jana May 11 2016 ndio alifariki baba mtu yaani Kinyambe. Jina halisi analotambulika katika familia yake ni James Petro Nsemwa na sio Mohammed Abdallah kama ambavyo wengi wanafahamu.

DSC_8390

DSC_8383

DSC_8400

DSC_8403

DSC_8365

Grace Petro Nsemwa dada wa marehemu ‘Kinyambe’

DSC_8370

Mzee Petro Nsemwa

DSC_8374

KAMA ULIIKOSA YA WABUNGE WA UKAWA WALIVYOTOKA NJE BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments