AyoTV

AUDIO: Mkwasa ameongea mambo mawili kuhusu Cannavaro na tathmini ya Taifa Stars

on

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa amerejea na kikosi chake akitokea Nairobi Kenya alipokuwa anacheza mechi ya kirafiki na timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars jana May 29 2016 na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, Stars walifunga goli la kuongoza na baadae Kenya kusawazisha kwa mkwaju wa penati.

Baada ya kurejea Dar es Salaam Mkwasa alionge mambo mawili “Nianze kwa kuelezea mechi ilikuwa nzuri kwani nimeanza kwa kuchezesha vijana wengi na wamejitolea vya kutosha licha ya wao kuwa na wachezaji wao proffessional, kuhusu Cannavaro kutojiunga na timu naomba aulizwe mwenyewe mimi kwa sasa siwezi kuliongelea hilo”

ALL GOALS: Fainali ya FA CUP May 25 2016 Yanga vs Azam FC, Full Time 3-1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments