Top Stories

Mkuu wa Wilaya alivyowaongoza wananchi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto 422

on

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Said Mtanda pamoja na Diwani wa kata Kirando Seba Kakuli (CHADEMA) wamewaongoza wananchi wa Wilaya Nkasi kujenga vyumba vya madarasa na kupanda miti na kusafisha mazingira shule ya Sekondari Kirando ambapo wanafunzi wa kidato cha kwanza 422 watajiunga mwaka huu.

Katika ujenzi huo ambao wananchi walijitokeza kwa wingi kushirikiana pamoja ili watoto wao waweze kujiunga shuleni hapo kwa wale waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza na baada ya hapo aliwaruhusu wanawake waliokuwa wamejitokeza kwenda kupumzika na kwenda kuandaa kwa ajili ya familia.

Bonyeza PLAY hapa kutazama kila kitu..

Alichokiongea RUNGWE baada ya Lowassa kwenda Ikulu kwa JPM

Soma na hizi

Tupia Comments