on air with millardayo

Majibu ya kwanini Ali Kiba huwa haendi kwenye tuzo? safari ya Marekani na kolabo na Bella.

on

Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani November 4 2015, kwanini huwa haudhurii matukio ya utolewaji wa tuzo mbalimbali anazowania, single mpya na Christian Bella na mengine.

Kwenye hii video hapa chini Ali Kiba amezungumzia pia single yao mpya na Christian Bella ‘nagharamia‘ ambayo wanaidrop Ijumaa hii

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments