Mix

INSTA:Wizkid kufanya collabo na msanii wa Singeli kutoka Tanzania

on

NI Headlines za msanii kutoka Nigeria, Wizkid mwenye hit single iitwayo Joro ameonekana akifanya mazungumza na msanii wa Singeli aitwae Dulla Makabila kupitia mtandao wa instagram.

Wizkid ameonekana akimwambia msanii huyo wa Singeli aandae verse zake kwaajili zitumike katika wimbo mpya atakaosikika Dulla Makabila.

 

ULIIKOSA HII YA NANDY KAFUNGUKA YA MAREKANI ‘NIMEKUTANA NA RONALD & MESSI’ ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments