Usiku wa May 12 2016 Idriss Sultan, Dogo Pepe, Captain Khalid na comedian wengine walifanya show yao ya comedy na kuwavunja watu mbavu, watu mbalimbali waliopata nafasi ya kuhuhudhuria show hiyo ya Stand up Comedy walienjoy kutokana na ubunifu wa mastaa hao, kama hukupata time ya kwenda kuangalia show hiyo mtu wangu, nimekuwekea hapa.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE