Top Stories

VIDEO: Jionee Jengo refu DSM, apartment zake simchezo zinaanzia Million 250

on

Leo September 25, 2018 millardayo.com na Ayo TV imepita mtaa wa Victoria uliopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ambapo imekutana na jengo lenye urefu wa Gorofa 16 ambalo jengo hilo limejengwa kwa ajili ya Ofisi na makazi ya watu (Apartments).

Sasa tumekusogezea hapa Video yenye muonekano wa Jengo hilo kwa nje na ndani ikiwa ujenzi wa jengo hilo ndo unamalizikia, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama na kufahamu Mmiliki pamoja na gharama za kuishi hapo.

GOODNEWS: MAGARI YANAVYOTELEZA NJIA ZA JUU TAZARA

“Sijaongea yale kutafuta kiki, mimi mwenyewe kiki tosha, siunaona balaa langu” Hamisa Mobetto

Soma na hizi

Tupia Comments