Habari za Mastaa

“Tunda aliwahi kuwa mpenzi wangu nasikia kaachana na Casto arudi tufunge ndoa”

on

Mchekeshaji Stan Bakora amesema kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mrembo Tunda kipindi ambacho wote wawili walikuwa hawajulikani, Stan ameeleza uhusiano wao ulidumu wakati wanaishi Morogoro na walipokuja Dar es Salaam hawakuendelea tena.

Stan Bakora amesema hayo wakati alipoulizwa kuhusu mwanamke anayeweza kufanga naye ndoa ndipo akajibu kwa kusema labda Tunda kwani ndo mwanamke anaye muona wataendana kwenye ndoa kwakuwa waliwai kuwa wapenzi hivyo wanajuana vizuri, hata hivyo ameongezea kwa kusema aliwai kuumia kuona Casto kamchora Tunda Tattoo.

BONYEZA PLAY HAPA KUTAZAMA STAN BAKORA AKIELEZEA.

 

Soma na hizi

Tupia Comments