AyoTV

VIDEO: Magoli ya Ndanda FC vs Yanga May 14 2016, Full Time 2-2

on

Klabu ya Ndanda FC ambayo May 14 2016 ilicheza mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans, uwanja wa Taifa Dar es Salaam kama uwanja wao wa nyumbani, mchezo huo ambao Yanga walikabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016, ulimalizika kwa sare ya goli 2-2.

ALL GOALS: MBEYA CITY VS YANGA MAY 10 2016, FULL TIME 0-2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments