Top Stories

Viwanda vitatu vitajengwa, vitatoa ajira kwa watanzania 500 mpaka 600

on

Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Kiluwa Free Processing Zone, Yusuf Manzi amezungumza kuhusu wageni kutoka China waliotembelea maeneo yatakayohusika juu ya ujenzi wa viwanda vitatu vipya ambavyo vitatoa ajira kwa wananchi zaidi ya 500 mpaka 600.

Mkurugenzi Manzi amesema kwamba viwanda hivyo vishasajiliwa na mashine zake zipo tayari na vitakapokamilika vitaweza kuwapa ajira watanzania wengi wakiwemo mama lishe watakao hudumia waajiriwa wasiopungua 500. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

SUGU afunguka ajali iliyoua 15 Mbeya “kumuondoa RC na RPC hakuondoi tatizo” 

Soma na hizi

Tupia Comments