AyoTV

VIDEO: Kauli ya Jumhuri Kihwelo baada ya timu yake kufungwa na Yanga 2-1 wakiwa pungufu

on

Baada ya mechi ya Dar es Salaam Young Africans dhidi ya Mwadui FC kumalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-1, huku tukishuhudia Mwadui FC wakimaliza mchezo huo bila kuwepo kwa Iddi Moby ambaye alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 71 ya mchezo na muamuzi Selemani Kinugani, kocha wao Jamhuri Kihwelo amefunguka na kueleza hisia zake juu ya kadi hiyo.

“Kama vile Madrid waliishinda FC Barcelona wakiwa nusu kwa sababu ya umakini licha ya kuwa pungufu, lakini kwa wachezaji wetu ni ngumu kumaintain hiyo hali, marefa wanapendelea kwani huwa wanafuatilia nani anafanya kazi vizuri ili wamtoe na Moby ndio alikuwa akidhibiti washambuliaji wa Yanga” >>> Jamhuri Kihwelo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIKOSA VIDEO YA MAGOLI YA MECHI YA YANGA VS MWADUI FC APRIL 13 2016, FULL TIME 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments