Habari za Mastaa

Joh Makini kayaongea haya kuhusiana na Video yake mpya, location je? 255 (+Audio)

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 21 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na hii ni moja kati ya stori ambayo imepata airtime, stori hii inamhusu Joh Makini na video yake mpya.

Joh Makini ana mpango wa kusafiri kwenda nje ya nchi kwa ajili ya kufanya video yake nyingine lakini mpaka sasa hajui ni wimbo gani anaenda kuufanyia video……

>>>’Natarajia kufanya vitu vingine vikubwa kwenye huu muziki tofauti na ambavyo umeshavisikia, ninaweza nikasafiri mwisho wa hii wiki kwa ajili ya kwenda kufanya video lakini mpaka sasa sijajua ni wimbo gani naenda kufanyia, muda huu tunaenda wote mimi, Nikki II na G Nako lakini kila mmoja ana project yake‘:-Joh Makini

12237050_150003775355255_445576821_n(1)

Joh Makini

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIMISS  WALICHOKIFANYA WEUSI NA JUX KWENYE SHOW YA MTWARA ITAZAME HAPA…

Soma na hizi

Tupia Comments