fB insta twitter

Rais Magufuli aishangaa Tanzania kwa hili

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.

Moja ya story kubwa June 01 2016 kwenye gazeti la Nipashe ni yenye kichwa cha habari ‘Magufuli aishangaa Tanzania’ gazeti hilo limeripoti kuwa Rais Magufuli, amesema Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo mwanafunzi aliyefeli kidato cha nne anaweza kujiungana chuo kikuu na kupewa mkopo na Serikali.

Gazeti hilo limesema Rais Magufuli aliyazungumza hayo wakati akikabidhi tuzo za Rais kwa mzalishaji bora wa viwanda, iliyoandaliwa na shirikisho la Viwanda Tanzania ‘CTI’

Ripoti ya Gazeti hilo imesema wiki iliyopita waziri wa elimu sayansi, teknolojia na ufundi, Prof. Joyce Ndalichako alisema kuwa ameagizwa na Rais kuwasimamisha kazi watendaji wa tume ya vyuo vikuu walihusika na na kudahili wanafunzi zaidi ya 300 wasio na sifa. 

 

ULIKOSA HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA JUNE 1 2016? WAHADHIRI UDOM WAONGEA, MAUAJI YA WATU 8 KWA MAPANGA TANGA, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments