AyoTV

VIDEO: Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda kwenye list ya dawa za kulevya

on

Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu ishu ya dawa za kulevya ambapo mwenyekiti wa Yanga na Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji yumo.

Baada ya jina la Manji kutajwa, ameita vyombo vya habari na kueleza kuwa hakuna haja ya kufika Polisi Ijumaa, yeye atafika kesho na kutoa maelezo lakini baada ya hapo atafungua kesi kwa jina lake kutangazwa kuhusishwa na tuhuma hizo, hii video hapa chini ina taarifa kamili

FULL VIDEO: Awamu ya pili ya Makonda na dawa za kulevya, ajibu pia kuhusu Wema na Masogange

Soma na hizi

Tupia Comments