Siku ya jana June 03 2016 kwenye mitandao na vyombo vya habari zilisambaa taarifa zilizodai kuwepo kwa kiwango cha faini baada ya DART kuwasilisha maoni ya kupitishwa sheria ndogondogo kwa ajili ya barabara zinazotumiwa na mabasi yaendayo haraka katika wizara husika kwa ajili kufanyiwa kazi.
Taarifa hiyo ilisema ‘Watakaogonga Mabasi ya UDART FAINI 300000’, millardayo.com ilitaka kujua undani wa taarifa hizo kutoka kwa afisa uhusiano wa DART William Gatambi……….
‘amenukuu vibaya hizo sheria ndogondogo bado zinafanyiwa kazi wizarani, aliyezungumza alikuwa anatoa mfano tu sio kwamba ndio kiwango rasmi’
Unaweza kubonyeza play hapa chini
ULIKOSA HII KAULI YA MAGUFULI KUHUSU WATU WANAOTUMIA BARABARA YA MABASI YAENDAYO HARAKA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE