Top Stories

Sare feki za Jeshi zakamatwa kambi ya Wakimbizi, lengo labainika (+video)

on

Leo January 10, 2019 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, imekamata nguo zinazofanana za sare za Jeshi katika Kambi ya Wakimbizi ya Mtendeli pamoja na Nduta.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Samson Anga, amesema nguo hizo zilikamatwa December 31, 2018 Kambi ya Wakimbizi na jumla ni 1,947 huku katika Kambi ya Mtendeli zikikamatwa nguo 622 na Nduta ni 1,325 uchunguzi wa tukio hilo unaendelea ili kuwabaini walioingiza sare hizo na lengo lao.

RC MWANRI ATAWALA UJIO WA NDEGE MPYA “CHIKICHII CHIKICHI EEEH, BWIRE SOMA HIYO”

Soma na hizi

Tupia Comments