AyoTV

Video ya Kiwanda cha rangi kilivyoteketea kwa moto Dar usiku huu

on

March 4 2016 moja ya tukio lililokusanya umati wa watu ni hii ya ghara la kuhifadhia rangi kwenye kiwanda cha Sadoline kilichopo maeneo ya tazara  Dar es salaam,   baada ya kuungua  moto ambao bado haujafahamika mpaka sasa nini chanzo chake. Kwa mujibu wa mkaguzi msaidizi wa jeshi la zima moto wilaya ya Kinondoni adam hamisi ngao amesema moto huo ulianza  kuwaka muda wa saa moja za usiku .

Hadi kamera ya Ayo Tv inaondoka eneo la tukio, taarifa zilionyesha hakuna mtu aliyepoteza maisha katika tukio hilo la ajali..

Hii ndio full video ya tukio hilo…..

Cheki hii video kujua mambo muhimu kuyajua ili usipatikane kwenye mikono ya Polisi…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments