Mtu wangu wa nguvu huenda ukawa hujapata nafasi au muda wa kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania, May 13 2016 katika pitapita zangu katika jiji la Mbeya nikaona ni bora nikusogezee pichaz 9 za muonekano wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uliyopo jijini Mbeya.
KAMA ULIIKOSA HII YA DARAJA LA KIGAMBONI KUJENGWA NA NSSF, UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE