AyoTV

VIDEO: Bossou kaeleza mbinu za wachezaji wa Al Ahly wakiona mambo magumu kwao

on

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilirejea Dar es Salaam Ijumaa ya April 22 2016 ikitokea Misri ilipokwenda kucheza game yake ya marudiano dhidi ya Al Ahly, Yanga imeondolewa katika michuano ya klabu Bingwa barani Afrika kwa jumla ya goli 3-2, baada ya kufika Airport Dar es Salaam Ayo TV ilimpata Vincent Bossou kwenye exclusive interview aelezee game yao na kwa nini alipaniki katikati ya mchezo.

“Mchezo haukuwa rahisi katika soka unaweza kushinda na kupoteza, kuhusu kupaniki au kuzozana na mchezaji wa Al Ahly wakati wa mchezo ni kutokana na wale jamaa huwa wakorofi wanakukorofisha ili uoneshwe kadi nyekundu au wapate penati kutokana na timu yetu kuwa imara” >>> Vincent Bossou

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF

Soma na hizi

Tupia Comments