Michezo

TOP 10 ya wanamichezo matajiri Uingereza 2016 imetoka, list yote ipo hapa

on

April 23 2016 gazeti la Rich Times imetoa majina ya wanamichezo 10 wenye mkwanja mrefu kwa mwaka 2016 ndani ya Uingereza pekee, katika list hii majina mengi yaliotawala ni wanasoka kasoro namba 2, 3 na 10 ndio sio wanasoka, namba 2 wapo wachezaji tennis Andy na Jamie Murray, namba tatu yupo mchezaji golf Rory McIlroy huku namba 10 yupo bondia pekee Amir Khan.

Mwanamichezo tajiri kwa mwaka 2016 ni nahodha wa Man United Wayne Rooney ambaye ana utajiri wa pound milioni 82 ambazo ni zaidi ya bilioni 250, utajiri wa Rooney unatajwa kuongezeka kwa kiasi cha pound milioni 10 wakati bondia Amir Khan kiwango chake hakijaongezeka wala kupungua.

tajiri

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA MAGOLI YA AZAM FC VS ESPERANCE APRIL 10 2016, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments