Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023
September 26, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023
September 26, 2023
Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani
September 25, 2023
Wanyama wakali na waharibifu kushughulikiwa na Jeshi la Uhifadhi
September 25, 2023
Wanawake wa kiislamu waomba msaada ujenzi wa makao makuu, Bihimba awapa tofali 1,000
September 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa
Sports

List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa

May 18, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa leo May 18 ametangaza kikosi cha wachezaji 26 watakaojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Harambee Stars na mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Misri.

Katika kikosi hicho Mkwasa ametaja majina ya wachezaji wengi tuliowazoe lakini jina la Simon Msuva na Deus Kaseke halikuwepo katika list, Mkwasa ameamua kumuongeza kikosini mchezaji wa Coastal Union Juma Mahadhi, licha ya nahodha wa zamani Nadir Haroub Cannavaro kutangaza kujiuzulu amemjumuisha katika list yake.

List ya majina ya wachezaji walioitwa

Magolikipa: Deo Munish ( Yanga), Aishi Manula (Azam) Benno Kakolanya ( Prisons).

Mabeki: Juma Abdul, Haji Mwinyi,Nadir Haroub (Yanga ), Erasto Nyoni, David Mwantika, Aggrey Morris ( Azam), Mohamed Tshabalala (Simba), Andrew Vicent ( Mtibwa Sugar).

Viungo: Himid Mao, Farid Mussa ( Azam), Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto (Simba), Mohamed Ibrahim, Shiza Kichuya ( Mtibwa Sugar ),Hassan Kabunda ( Mwadui ), Juma Mahadhi (Coastal Union). Ismail Issa Juma ( JKU)

Washambuliaji: Elias Maguri ( Stand United), John Bocco ( Azam) Ibrahim Hajib ( Simba), Mbwana Samatta ( KRC Genk , Ubelgiji), Thomas Ulimwengu ( TP Mazembe)

HAPA NI CANNAVARO ALIPOELEZA MSIMAMO WAKE KAMA ATAITWA TAIFA STARS TENA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Mo Salah avunja rekodi ya Premier League kwa kufunga bao dhidi ya West Ham United

Bruno Saltor ameacha nafasi yake kama kocha wa kikosi cha kwanza katika klabu ya Chelsea.

Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia…

Manchester United wanaripotiwa kutafuta mbadala wa Andre Onana…

Israel Adesanya akabiliwa na kifungo cha miezi mitatu jela…

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA May 18, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Dakika 5 za Mbunge anayesema hataki ishu za Viwanja vya ndege
Next Article Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023
Top Stories September 26, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023
Top Stories September 26, 2023
Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani
Top Stories September 25, 2023
Wanyama wakali na waharibifu kushughulikiwa na Jeshi la Uhifadhi
Top Stories September 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023

September 26, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023

September 26, 2023
Top Stories

Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani

September 25, 2023
Top Stories

Wanawake wa kiislamu waomba msaada ujenzi wa makao makuu, Bihimba awapa tofali 1,000

September 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?