social network

Instagram: Aliyoyaandika Vannesa Mdee baada ya post mbili za Shilole kwenye mtandao wa Instagram

on

Headline zinachukuliwa na Warembo kutoka Kiwanda cha Bongoflevani na hii ni baada ya May 17 2016 Shilole kupost picha kwenye Account yake Instagram ambayo wengi wametafsiri ni dongo kwa msanii mwenzake Vanessa Mdee, May 18 2016 Vanessa Mdee amezichukua headline kwa Kupost picha ya Shilole na kuandika caption inayosomeka hivi.

Nikupe KICKII ujulikane au sio? Kila siku twanyamazaga ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio uliowazoea. P.s: You ain’t worth this post inashushwa sasa hivi #MessageSent‘>>>Vanessa MdeIMG-20160518-WA0015

Post hiyo ya juu ni baada ya hizi post mbili za Shilole kwenye account yake ya instagram

shishi

IMG-20160518-WA0016

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments