AyoTV

VIDEO: Yalivyonaswa magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC, Full Time 2-1

on

Baada ya TFF kusogeza mbele michezo kadhaa ya Yanga ili kuwapa nafasi ya kujiandaa na michezo ya Klabu Bingwa Afrika, April 13 2016 ilikuwa ndio siku ya kucheza moja kati ya michezo yao ya viporo, Yanga walicheza dhidi ya Mwadui FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

YANGA VS AL AHLY APRIL 9 2016, FULL TIME 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments