Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni Diamond Platnumz na Morgan Heritage kwenye ngoma moja

on

Baada ya siku kadhaa kupita toka Diamond Platnumz aachie video zake mbili mpya ya ‘Fire’ na ‘I Miss You’, leo September 29 2017 ameamua kuachia video nyingine mpya ya wimbo wa “Hallelujah” ambao amemshirikisha Morgan Heritage…  ndio hii hapa chini

Style aliyotumia Diamond Kumuwish Wema Sepetu kwenye birthday yake

.

Soma na hizi

Tupia Comments