Top Stories

AJALI! Watanzania 13 wa Familia moja wafariki ajalini, Uganda

on

Watu 13 wa familia moja wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea Uganda baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutoka kwenye sherehe ya harusi kugongana na lori jana September 17, 2017 majira ya saa 4:00 Usiku katika barabara ya Masaka, Uganda wakiwa njiani kurejea Tanzania.

Watu hao ni kutoka katika familia ya Naibu Waziri na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mpwapwa, Dodoma, Gregory Teu.

Kufuatia ajali hiyo iliyosababisha vifo, President Magufuli jana alituma salamu za rambirambi kwa familia ya Mbunge huyo wa zamani akionesha kusikitishwa na kuwatakiwa moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

“Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments