AyoTV

VIDEO: Wachezaji wa Yanga walivyokabidhiwa Kombe lao wakiwa na familia zao May 14 2016

on

Klabu ya Dar es Salaam Younga Africans May 14 2016 ilikabidhiwa Kombe lake la ushindi wa Ligi Kuu Tanzania msimu wa 2015/2016, baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya Ndanda FC kwa sare ya goli 2-2, hili ni taji la Ligi Kuu la 26 kwa Yanga na ni taji la kwanza kwa Donald Ngoma katika maisha yake ya soka.

ALL GOALS: NDANDA FC VS YANGA MAY 14 2016, FULL TIME 2-2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments