AyoTV

VIDEO: ‘Hawa Wananchi hawatoturudisha tena’ –Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama ambaye pia alishawahi kuwa Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ameliambia Bunge kuwa katika ilani ya CCM wakati wa uchaguzi waliwaahidi wananchi kuwa watatatua changamoto za maji lakini hadi sasa bado hatua stahiki hazijachukuliwa hivyo endapo tatizo halitoangaliwa na kutatuliwa CCM ijue wananchi hawatairudisha tena madarakani.

Full video ya mchango wa Nape Nnauye nimekuwekea hapa chini tayari…

BUNGENI: Musukuma alipua Wabunge kwenda kwa Waganga 

Soma na hizi

Tupia Comments