Habari za Mastaa

VIDEO: Diary ya Alikiba imefunguliwa, episode ya kwanza ni yeye na R Kelly

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly.

Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini kwenye hii video.

ULIIKOSA LIVE SHOW YA ALIKIBA ALIYOMPANDISHA JOKATE NA WEMA SEPETU KWENYE STAGE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments