Mix

CloudsFM Top 20: Ngoma 20 kali zilizopangwa kwenye list leo February 5

on

Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila Jumapili CloudsFM kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa 7 mchana na Mtangazaji Mami Baby ikiwa na mkusanyiko wa midundo 20 mikubwa ya wiki ambapo millardayo.com inakupatia nafasi ya kuona hiyo countdown kwa njia ya video

20 Rich mavoko ft Diamond – Kokoro

19 Madee – Hela

18 Runtown – Mad over you

17 Baraka the prince ft Alikiba – Nisamehe

16 Chekedaa – Starehee

15 Bill nass ft mwana FA – Mazoea

14 Vanessa mdee – cash madamee

13 QueenDarleen ft Rayvany – kijuso

12 Nedy Music ft Christian Bella- Rudi

11 Barnaba boy – lover boy

10 The weakend-star boy

09 Timbulo ft baraka deprency-usisahau

08 Dj khaled ft chrissbrown & Nick minaji Do you Mind

07 Mwana FA ft vanessa mdee Dume suruali

06 Nandy – one day

05 Belle 9 ft Gnako warawara – Give it to me

04 Darassa ft Ben pol – muziki

3 Nyashisk – Mungu pekee

02 Chrissbrown ft Usher & Gucci money – Party

01 Ditto – Moyo sukuma Damu

ULIPITWA? Ray C alivyoimba mbele ya Waziri mkuu Majaliwa Dodoma, bonyeza play kwenye hii video hapa chini ujionee

Soma na hizi

Tupia Comments